Rayvanny Kuachia Wimbo Mpya Hivi Karibuni.

Msanii wa muziki kutoka WCB, Rayvanny amedai ataachia wimbo wake mpya muda mchache baada ya kutoka kwa video ya wimbo ‘Kijuso’ alioshirikishwa na Queen Darlin.Muimbaji huyo ambaye bado anafanya vizuri na wimbo ‘Natafuta Kiki’ amedai ameandaa kazi nyingi ambazo zinasubiri wakati wa kutoka.Akizungumza na mashabiki wake live katika mtandao wa Instagram (Insta Live) Jumanne hii, Rayvanny amewataka…

Mwasiti – SEREBUKA [Coming Soon]

Hit Maker wa Wimbo unaobamba In Town wa “MAPITO” Msanii wa Kike Mwasiti Jumatatu ya Wiki ya Kesho anategemea kuachia Bonge la Song kwa Mashabiki wake linalokwenda kwa Jina la “SEREBUKA” Mwasiti amesema wimbo wake huo Mpya utakuwa ni zawadi kwa Mashabiki wake kwa Mwaka 2014,Wimbo uliojikita kwenye mahadhi ya kumfanya kila anayeusikiliza acheze. Kwa…