Coming Soon: Kimbunga Mchawi Feat Chege ~ USITUKANE

Rapper Kimbunga Mchawi ameamua kubadilika kidogo na kuweka zile Ngum
Pembeni kisha Kufanya Bonge moja ya Kwaito “USITUKANE” huku
akimshilikisha Mtoto wa Mama Saidi kutoka TMK Chege Chingunda,
Uliwahi kufikiri kama Mwana Atabadilika, Aya sasa subiri kusikia Kazi
hii ambayo imefanyika Pale Ruby Rec chini ya Producer Jala Man na
Usimamizi wa Madam Ruby.