SHILOLE aka SHISHI BYBEE – CHUNA BUZI | Soon

Mwanadada SHILOLE aka SHISHI BYBEE
anatarajia kutoa wimbo wake mpya kabisa kwa mwaka huu 2014 alioupa jina
la CHUNA BUZI. Shilole ambaye ni mwigizaji wa Bongo Movie na pia ni
msanii wa Bongo Fleva amesema kuwa anatarajia mambo makubwa sana kwa
mwaka huu 2014 kama mungu atamjalia pumzi.
Shilole ambaye bado anatesa na kichupa chake kinachoitwa NAKOMAA NA JIJI
amesema CHUNA BUZI nimwendelezo tu wa nyimbo zake lakini mashabiki wake
wanaona kama majina anayoyachagua kukaa kwenye nyimbo zake yanaonekana
kama anayaimba maisha yake. Wimbo huu mpya ameufanyia pale Mazuu Rec
chini ya Producer Mazuu.uTaipata HapaHapa DJMwanga.com