Coming Soon: Kimbunga Mchawi Feat Chege ~ USITUKANE

Rapper Kimbunga Mchawi ameamua kubadilika kidogo na kuweka zile Ngum Pembeni kisha Kufanya Bonge moja ya Kwaito “USITUKANE” huku akimshilikisha Mtoto wa Mama Saidi kutoka TMK Chege Chingunda, Uliwahi kufikiri kama Mwana Atabadilika, Aya sasa subiri kusikia Kazi hii ambayo imefanyika Pale Ruby Rec chini ya Producer Jala Man na Usimamizi wa Madam Ruby.

AUDIO | Machalii Pori – Tunaonekana | Download

Machalii Pori wana wa Ifakara wenye maskani yao Arusha pande za Usa River kwa sasa, baada ya kutoa wimbo wa “Njoo kwetu” sasa wanasema “Tunaonekana” ikiwa ni Afropop category mkono toka Noizmekah Studios Arusha, bofya HAPA kusikiliza/kudownload na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na Machalii Pori kupitia +255 767 554 041 & +255 765 396 635…