AUDIO | Dj Kidogodogo Ft. Dogo Sajent – Asha | Download
Audio
djmwanga July 2, 2025 3 Comments
Dj Kidogodogo anarudi na ngoma mpya “ASHA” akimshirikisha Dogo Sajent – wimbo wenye ujumbe wa maisha halisi, mapenzi na changamoto. ASHA inaleta mchanganyiko wa ladha ya Bongo Flava na midundo ya mtaani – guaranteed kukugusa!