Home Uncategorized Dogo JanJa akitangaza maamuzi yake, anarudi Tiptop? kaomba msamaha

Dogo JanJa akitangaza maamuzi yake, anarudi Tiptop? kaomba msamaha


Interview ya Dogo Janja on AyoTV ambayo ameamua kusema ya moyoni kuhusu kilichotokea baada ya kuondoka kwenye kundi la Tiptop Connection pia akaambatanisha na maamuzi yake ya sasa.

Hakuondoka Tiptop vizuri baada ya kumshutumu Madee kutompa pesa za show alizokua anafanya na kwamba alikwenda hata kwenye account yake ya benki na kukuta pesa zote zimechukuliwa.

Cheki Video Hapa Chini Dogo JanJa akifunguka Yake Ya Moyoni


crdt:Millardayo.com
Previous articleAUDIO | Angel Classic – SHEMEJI | Download
Next articleAUDIO | SACHA FT MKWAWA – LOVER LOVER | Download