hii
ni baada ya project ya nasomesha bure kuleta matokeo chanya.Basi hii
ni baada ya kuona baadhi ya wasanii wamechukua uamuzi wa kurudi shule
baada ya kusikia ujumbe wa nasomesha bure, huu ni ujio mwingine
unaoonesha ni vip watu mbalimbali katika jamii wanaweza kuondokana na
vitendo viovu katika jamii na kuweka mipango madhubuti ya kimaendeleo.