
Lyrics | Mshindi by Appy
Ya kwetu mvua la kwetu jua Na tuka amini tutatusua Kwetu sio wakishua shida twazijua Maisha yetu yakuunga unga Ulo mmoja mchana usiku Shida ndo zimetuleaaah Tukajikongoja mchana usiku Tukaishi kwa mazoea aaah Maisha yanavuruga shida zakila muda Mpaka marafiki wakageuka yuda Tumelelewa na mitaa hatuna ndugu Na shida zimetufanya tuwe masugu Tushatembea sana kwa…