Lyrics
Cough Cough Cough Cough
Yaw Yaw
Bomboo Claaaaat
Nataka Mji
Nenda Dare S Salaam
Sitaaki Nipeni Mji
We Nenda Dare S Salaam
Masela Nataka Mji
Nenda Dare S Salaam
Mmh
Ilo Jiji Bwana Kuishi Ujipange Dada Ukitaka Gari Ni Lazima Udange
Hadi Wa Masai Wana Namba Za Mange Wengine Mtasema Ni Akili Za Bange
Ama Niende Mbeya Tulia Atanipokea Ila Dar Siwezi Sogea Kazi Kubeti Na Umbea
Arushaa Cough Naona Kama Nitajirusha Bomboo Claaaat Kila Mutu Ni Moshii Vipi Mimoshi
Naiwaza Sana Dodoma Ila Moyo Bado Unagomaa Mmh Au Niende Kigoma Ama Nipelekeni Alipo
Roma
Orighty Ngoja Kwanza Wacha Niende Mwanza Nikale Sato Kwanza Ila Mmh Mtwara Kwanza
Eti Uko Bongo Vitu Vidogo Vidogo Wanaume Wanasusa Kila Mwenye Kiki Kidogo Anatembea Na
Baunsa
Shiit
Nataka Mji
Nenda Dare S Salaam
Sitaaki Nipeni Mji
We Nenda Dare S Salaam
Masela Nataka Mji
Nenda Dare S Salaam
Wanazunguka Kwa Waganga Wakikosa Wanarudi Kwa Mwamposa
Tajiri Hanaga Makosa Machinga Nafasi Kakosa
Joto La Dar Lazima Uwe Na Ac Muda Mwingine Umeme Unakataa Kumshinda Ray C
Kama Nasogea Sogea Ni Morogoro Au Songea Wanaume
Wa Dar Kwa Kuongea Hata Pakulala Wanagongea
Mmh
Yasikutishe Maisha Yao Ya Kwenye Tv Buti Jeans Na Tshirt Fake Loui V
Wa Bongo Hawakupi Mishe Hata Uwe Na Cv Ukiacha Iringa Na Njombe Dar Pia Kuna Hiv
Vitu Vidogo Vidogo Wanaume Wanasusa Kila Mwenye Kiki Kidogo Anatembea Na Baunsa
Shiit
Nataka Mji
Nenda Dare S Salaam
Sitaaki Nipeni Mji
We Nenda Dare S Salaam
Masela Nataka Mji
Nenda Dare S Salaam
AUDIO | Harmonize – Dar Es Salaam