Lyrics | Bora Kushukuru by OBBY ALPHA

Bora Kushukuru Lyrics by OBBY ALPHA

Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo
Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata
Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa

Tabasamu njoo, Nataka nibadiri
Wangu mtazamo niishi kitajiri
Na wewe maumivu njoo, Nataka nibadiri
Wangu msimamo niishi kijasiri

Ile habari ya kulialia Kila siku nakataa (Nakataaa)
Na kama nilisainiwa mkataba nafuta aah
Ndugu tulowasaidia wakaficha makucha (Makucha)
Wao walipofanikiwa wakataka kutushusha aah

Nafuta zile why me!! Why me
Sijapata kwanini ? Kwanini ?
Najawa ujasiri ujasiri
Nitapata na mimi na mimi
Nafuta zile why mimi Why mimi
Sijapata kwanini ? Kwanini ?
Najawa ujasiri ujasiri
Nitapata na mimi na mimi

Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo
Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata
Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo
Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata
Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa

Na nilipo huenda Kuna wengine wanapatamani
Zamani huko nilishakataliwa na watu wa nyumbani
Kile kidogo ninacholalamika lakini nimepata
Wengine huko wamepambana wamekosa kabisa

Kumbe ni Bora kuridhika na hiki
Nilichopata ndio yangu ridhiki
Mungu ni Bora yeye hatabiriki
Amekupa hicho mi amenipa hikii

Nafuta zile why me!! Why me
Sijapata kwanini ? Kwanini ?
Najawa ujasiri ujasiri
Nitapata na mimi na mimi
Nafuta zile why mimi Why mimi
Sijapata kwanini ? Kwanini ?
Najawa ujasiri ujasiri
Nitapata na mimi na mimi

Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo
Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata
Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa

Bora Kushukuru by OBBY ALPHA AUDIO LINK

AUDIO | Obby Alpha – Bora Kushukuru | Download

ad