Ya kwetu mvua la kwetu jua
Na tuka amini tutatusua
Kwetu sio wakishua shida twazijua
Maisha yetu yakuunga unga
Ulo mmoja mchana usiku
Shida ndo zimetuleaaah
Tukajikongoja mchana usiku
Tukaishi kwa mazoea aaah
Maisha yanavuruga shida zakila muda
Mpaka marafiki wakageuka yuda
Tumelelewa na mitaa hatuna ndugu
Na shida zimetufanya tuwe masugu
Tushatembea sana kwa miguu
Sasa ni zamu yetu kuwa juu
Waona nn ukiniona
Watizama mshindi ukiniona
Waona nn ukiniona
Watizama mshindi ukiniona
Waona nn ukiniona
Watizama mshindi
Tushazika wazazi dunia ikawa ndo mlezi
Tukateswa na maisha yan hakuna mtetezi
Kwetu sukuma wiki ilisukuma mwezi
Na mapambano ya dhiki tukamuachia mwenyezi
From zero to hero no body to somebody
No mamy no dady but am straggling
Maisha yanavuruga shida za kila muda
Mpaka marafiki wakageuka yuda
Tumelelewa na mitaa hatuna ndugu
Na shida zimetufanya tuwe masugu
Tushatembea sana kwa miguu
Sasa ni zamu yetu kuwa juu
Waona nn ukiniona
Watizama mshindi ukiniona
Waona nn ukiniona
Watizama mshindi ukiniona
Waona nn ukiniona
Watizama mshindi ukiniona
Waona nn ukiniona
Watizama mshindi ukiniona
Watizama mshindi
Download AUDIO>> Mshindi by Appy