AUDIO | Appy – Mshindi | Download

Download | Appy – Mshindi [Mp3 Audio]

 

Lyrics
Mshindi By Appy

Ya kwetu mvua la kwetu jua
Na tuka amini tutatusua
Kwetu sio wakishua shida twazijua
Maisha yetu yakuunga unga
Ulo mmoja mchana usiku
Shida ndo zimetulea aah
Tukajikongoja mchana usiku
Tukaishi kwa mazoea
aaah
Maisha yanavuruga shida zakila muda
Mpaka marafiki wakageuka yuda
See Lyrics >>>