Home Uncategorized Jishindie Smart Phone kila week | Show Time New Chapter

Jishindie Smart Phone kila week | Show Time New Chapter

Jumatatu ya Tarehe 25/5/2015 Radio Free Africa ilianzisha New Segment kwenye kipindi chake cha Show Time New Chapter kinachorushwa hewani kila Jumatatu hadi Ijumaa saa nane mchana hadi saa kumi jioni. Kwenye New Segment Video challenge wanachagua video ya msanii yoyote na kuiweka katika Video Challenge kwa mwezi mzima . Katika Video challenge msikilizaji unatakiwa kuangalia video iliyochaguliwa na unawatumia screen shot wakati unaangalia hiyo video ili uweze kujishindia zawadi kama vile vocha na smart phone. Screen shots zinatumwa whatsap +255 655 357 525, instagram @bizzo_showtime na pia kwenye harshtag #showtime_newchapter2015 . Kila siku washindi wawili wanapatikana na kutangazwa hewani kwa ajili ya zawadi ndogo ndogo ikiwa ni pamoja na vocha za simu halafu kila ijumaa kuna kuwa na draw kubwa ya kupata mshindi wa smart phone. Unaweza sikiliza hapa chini washindi wawili wa vocha na pia Galaxy akipewa taarifa ya video yake kupata nafasi ya kuwa ya kwanza kwenye New Segment ya video challenge.

http://www.audiomack.com/song/digital-city-drimz/rfa-show-time-new-chapter-video-challenge-mshindi-2

Na Video inayoangaliwa katika video challenge ndio hii hapa:

Previous articleNew AUDIO | Ruby – Na Yule REMIX By BEN D | Download/Listen
Next articleNew AUDIO | Sajna – Nakosa Story | Download/Listen