Kutana na The Great Eddy mwenye miaka 21 ambaye kwa sasa amepewa Mkataba na record Label ya The Industry inayomilikiwa na kundi la muziki, Navy Kenzo. Alitambulishwa rasmi kwenye Industry ya muziki kupitia album ya pili ya Navy Kenzo “Story of The African” kwenye nyimbo ya Jealousy na kwa sasa yupo tayari kutoka kama solo artist.
Kwa kipaji chake mahili, anatarajiwa kuwa moja wapo ya Wasanii bora chipukizi kwa Afrika, wapenzi wa muziki duniani kote mnakaribishwa kuweza kuskiliza uwezo wa uandishi na melody kali. SMALL BAD WOLF ndo jina la Ep yake ya kwanza, ambayo inaelezea uwezo wake kamili kwenye mziki,
Ep hiyo inatarajiwa kutoka May 14, na ameachia wimbo mmoja kutoka kwenye EP hiyo unao enda kwa jina la ‘Girl From Ghana.’ Link>africori.to/smallbadwolf Enjoy