Home Uncategorized MSANII RAYVANNY ANYAKUA TUZO YA BET

MSANII RAYVANNY ANYAKUA TUZO YA BET

Kwa mara ya kwanza tanzania tunaandika historia katika tuzo kubwa za BET, Rayvany Boy anatutoa kimasomaso kwa kutwaa tuzo hii ya Bet Rayvanny alikuwa kwenye Kipengele cha Viewer’s Choice Best New International Act 2017 

Previous articleAUDIO | Cpwaa Ft. The Artist, Godzilla, One, Lord Eyez & Mabeste – Mission 12 O’Clock | Download
Next articleVIDEO | Rummy – Inshallah Tuafikishie | Watch/Download