MATOKEO KIDATO CHA NNE 2013 HAYA HAPA!

Majira ya saa nane mchana siku ya leo, hatimaye matokeo ya kidato cha
nne 2013 yametangazwa baada ya kusubiriwa kwa hamu na wadau kwa muda
mrefu sana. Jedwali hili hapa chini ni summary tu ya matokeo hayo kwa
ujumla.
Hizi ndio shule 10 bora matokeo kidato cha nne 2013:

1. St.Francis Girls (Mbeya)
2. Marian Boys (Pwani)
3. Feza Girls (Dar-es-salaam)
4. Precious Blood (Arusha)
5. Canossa (Dar-es-salaam)
6. Marian Girls (Pwani)
7. Anwarite Girls (Kilimanjaro)
8. Abbey (Mtwara)
9. Rosmini (Tanga)
10. DonBosco Seminary (Iringa)


Hawa ndio wanafunzi 10 bora matokeo kidato cha nne 2013:

1. Robina S Nicholaus (Marian Girls – Pwani)
2. Magreth Kakoko (St. Francis Girls – Mbeya)
3. Joyceline Leonard Marealle (Canossa – Dar-es-salaam)
4. Sarafina W. Mariki (Marian Girls – Pwani)
5. Abby T Sembuche (Marian Girls – Pwani)
6. Sunday Mrutu (Anne Marie – Dar-es-salaam))
7. Nelson Rugola Anthony (Kaizirege – Kagera)
8. Emmanuel Mihuba Gregory (Kaizirege – Kagera)
9. Janeth Urassa (Marian Girls – Pwani)
10. Angel Ngulumbi (St. Francis Girls – Mbeya)


Matokeo yatapatikana muda sio mrefu kuanzia sasa kupitia tovuti zifuatazo:


Pia, matokeo yanaweza kupatikana kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno (SMS) kupitia namba 15311. Jinsi ya kutuma ujumbe, Andika: MatokeoXNamba ya kituoXNamba ya Mtahiniwa

Mfano: matokeoxS0101x0503

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *