Home Uncategorized AUDIO | Tanzania Hip Hop Stars ft January Makamba & Sugu –...

AUDIO | Tanzania Hip Hop Stars ft January Makamba & Sugu – Haki

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba
pamoja na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu
wameshirikishwa kwenye wimbo uitwao ‘Haki’ uliofanywa na wasanii 13 wa
Hip Hip. Katika wimbo huu, January Makamba amefanya intro na Sugu
kufunga na outro.

Wasanii walioshiriki kwenye Haki ni pamoja na Quick Rocker, Mchizi
Mox, Godzilla, Kala Jeremiah, G-Nako na Nikki wa Pili.
Wengine ni
Fid Q,
Joh Makini, Gosby, Profesa Jay, Mwana FA, Danny Msimamo na Kalapina
.

Wimbo huu umetayarishwa na P-Funk Majani kwenye studio za Bongo
Records
.
Una lengo la kulihamasisha bunge la katiba mpya kuingiza suala
la sanaa na haki za kazi za kiubunifu (Intellectual Property) kwenye
katiba hiyo.

UnaweZausKiLiza Hapa&Kuudownload

http://old.hulkshare.com/dl/zzxc0h1w9ybk/%28DJMwanga.com%29Tanzania_Hip_Hop_Stars_ft_January_Makamba_%26_Sugu_%E2%80%93_HAKI_%28_Produced_by___P-Funk_%29.mp3?d=1 

Crdt:Bongo5