ARSTIST:BIG JOFF,RASCO J&JESSEY
SONG:TROUBLE
STUDIO:BANTU MUSIC(IRINGA)
PRODUCER:GERALD
Ni
ngoma mpya kutoka kwa Wabantu wanaopatikana mkoan Iringa, wakiwa chini
ya Bantu Music wakifanya harakat za kuinua mziki wa Hip Hop Tanzania ni
Camp ambalo linajumuisha wasanii kama BIG JOFF, RASCO J, JESSEY,
TROUBADOUR, SADAAM, Na ndani ya hii track wameshiriki baadhi yaoooo….