PRODUCE DX MFANO WA KUIGWA TANZANIA KUMALIZA UGOMVI WA JAMBO SQUAD NA MECCA CHEKA

Tukizungumzia watu wenye mapenzi mema na mziki wa bongo basi inabidi kumtaja dx kutoka arusha wakati makundi yakifa nakupoteza ladha ya mziki kisa kikiwa ni ugomvi nawakati wasanii wengine waki zalilishwa mitandaoni DX kakaachini nakuwapatanisha wasanii hawa waliokuwa na ugomvi wa muda video na picha ziko hapa

Jambo Squad na MeccaCheka siku ya Jumatano tarehe 26 Februari tulikutanishwa Noizmekah kujadili tofauti zetu, sasa Tumepatana na hakuna beef tena. Shukrani kwa mashabiki zetu wote tunawapenda, tegemeeni ngoma za pamoja toka kwetu Jambo Squad na MeccaCheka kama ishara ya amani na upendo kati yetu vijana, wasanii wa Tanzania, Peace & Love