
Jina Langu Halipotei Album Launching Party Promo Video – Tdx Wangex
Uzinduzi wa Album Ya TDX ‘Jina langu Halipotei’ Utafanyika Tarehe 20/12/2015 pale Club 71 Tegeta Kibaoni, kwa Kiingilio cha Tsh 7000 Utaweza kupata burudani kutoka kwa Wasanii kibao kama, Linex, Kala Jeremiah , Becka Ttile, Chindo Man, P THe Mc, na wengine kibao. Pia kutakuwa na mauzo ya hapo kwa hapo yanayojumuisha Cd na T-Shirt…