Uzinduzi wa Album Ya TDX ‘Jina langu Halipotei’ Utafanyika Tarehe
20/12/2015 pale Club 71 Tegeta Kibaoni, kwa Kiingilio cha Tsh 7000
Utaweza kupata burudani kutoka kwa Wasanii kibao kama, Linex, Kala
Jeremiah , Becka Ttile, Chindo Man, P THe Mc, na wengine kibao. Pia
kutakuwa na mauzo ya hapo kwa hapo yanayojumuisha Cd na T-Shirt za Jina
Langu Halipotei

CD Zinapatikana kwa Bei ya Tsh 5000/=
Tickets zinapatikana kwa Tsh 7000/=
T-shirt zinapatikana kwa Tsh 20000/=
JIUNGE NAMI KUPITIA
Twitter: @djmwanga
Instagram: @djmwanga
Facebook Fans Page: DJMwanga