Home Uncategorized BEST PRODUCER OF THE YEAR VOTE 4 SHEDDY CLEVER

BEST PRODUCER OF THE YEAR VOTE 4 SHEDDY CLEVER

Habari watanzania naitwa Sheddy Clever ni Producer natokea katika studio
ya Burn record iliopo tabata jijini Dar es salam haitaji kura zenu
watanzania ili niweze kuchukua tuzo ya Kilimanjaro music award kwani na
stahili na kazi nilizofanya ni nyingi na ni nzuri 1.Number one ya diamo.
2.Msambinungwa ya tunda man na alli kiba. 3.kerewa ya shetta na
diamond. 4.Number one rmx ya diamond na davido na nyingine nyingi
watanzania jini ya kunipigia kura nenda kwenye sms andika BK4 tuma
kwenda 15440 plz nahitaj saana Sapot zenu

Previous article[RMX] Kala Jeremiah ft. Juma Nature, Young Killer & Nay Lee – WALE WALE | Download
Next articleJIMMCARTER CLOTHING Line New Logo #Shut Up HATER’s