NEW MUSIC | KCK ft MoPlus – BigidiBoost | Download

KcK wanadrop “BigidiBoost” wakiwa na MoPlus aka Baba Wa Ukoo,Hii ni single itakayokuwepo katika Album ya “Nil-Vil ” itakayodrop mtaani mapema mwezi wa Tisa,maarufu zaidi kama Nilivyoviharibu Vilivyoniharibu.Download HAPA na kwa mahojiano/Mawasiliano zaidi check na Legendary SpacDawg na Boox kupitia +255 754 970 956 au +255 765 022 224 powered by www.vmgafrica.com

KIONJO/SNIPPET | Banx ft Defxtro – Excellent

Tarehe Moja Mwezi wa Tisa 2013, Banx atadrop “Excellent” ikiwa ni mkono toka Noizmekah Studios akishirikiana na Defxtro alopita Verse moko, Pata Kionjo/Snippet HAPA ,kwa mawasiliano/Mahojiano check na +255 717 766 348 powered by www.vmgafrica.com var vglnk = { api_url: ‘//api.viglink.com/api’, key: ‘a187ca0f52aa99eb8b5c172d5d93c05b’ };