Baada ya kufanya ngoma iliyojulikana kwa jina la “Sio Kiivyo” yenye
maadhi ya riddim, wasanii wawili wakali katika gemu la Bongo Flava ambao
kila mmoja anauwezo wake tofauti na ni tofauti ukisikia tu unajua huyu
ni Joslin au huyu ni Stopa The Rhymecca kutokana na utofauti wao
musically. Sasa
wanarudi na ngoma nyingine kali inayofahamika kwa jina “Tesa Nae”
Ngoma hiyo imetengenezwa na mtayarishaji wa mapigo ya muziki
anaefahamika kama Davi_Dizzo ndani ya Legend Studio.. “Natesa Nae” kutoka kwa Joslin akiwa amemshirkisha Stopa The
Rjymecca..