Search Results for:
DugizNyuki FT Bounako – Hustler Vs Gangsta
Dugiz Nyuki akimshirikisha Bounako katika mkono ” Hustler VS Gangsta” ilopikwa Chimbo Records Moshi pamoja na Noizmekah studios Arusha,pata kuusikiliza/Download HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na Dugiz kupitia +255 769 434 134 powered by www.vmgafrica.com
Hii Ndio AUDIO Ambayo Baba Levo Analalamika DIAMOND PLATNUM Kamwibia Chorus | DEMO
Unaweza Download na Kuiskiliza Hapa [DEMO]
AUDIO | Dayna – Naumia | Download [Unaosemekana uliibwa na Diamond na kuuita “Number one”]
Huu ndio wimbo wa Dayna ambao Diamond ameiba bit na melody na kuuita namba one. Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo kwa Shedy, Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi Dayna kwamba wangefanya wote. Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na kumwambia ile bit ampe na aachane na kazi ya Dayna.