HOT NORTH 91

Finally HOT_NORTH_91 Kipindi Kipya Cha Entertainment Kutoka Arusha Kiko YouTube Unaweza Ku_subscribe Kupitia YouTube Chanel Yetu https://www.youtube.com/watch?v=t3iODVbKSXAHosted Talented @stewartgeorgetz Camera Man @diggoboy & Sport Profile @nuru_Paulo_ferooz Najua Umemmis #Tash_MasaiTozi Mzee @tash_mulemule_bablenye Wa #Chapia Ameongea Mengi Ndani Ya HOT_NORTH_91 Lets Support The Real Talent @hotnorth91 #4Life

#HitAlert: Baraka Da Prince Ft. Ali Kiba – Nisamehe | Coming Soon (13.9.2016) AUDIO & VIDEO

The most anticipated collaboration “Nisamehe” will officially be released on 13.9.2016. More details to follow #Nisamehe #Prince x #KingKiba #HeirToTheThrone @rockstar4000 @sevenmosha@beingaidancharlie @najdattani The most anticipated collaboration “Nisamehe” will officially be released on 13.9.2016. More details to follow #Nisamehe #Prince x #KingKiba #HeirToTheThrone @rockstar4000 @sevenmosha @beingaidancharlie @najdattani A photo posted by BarakahThePrince (@barakahtheprince_) on Sep 10, 2016 at 11:19am PDT Download DJMwanga Android Application…

Black Coffee Ni Nani Na Kwanini Ameshinda Tuzo Za BET? @RealBlackCoffee

Jina la Black Coffee, Sio jina linalotambulika sana miongoni mwa watanzania. Mimi binafsi nilianza kufuatilia kazi zake baada ya kutajwa kuwa miongoni mwa wanamuziki wanaowania tuzo za BET za mwaka huu katika kipengele cha Best International Act-Africa akiwemo Diamond Platinumz. Nikiri kwamba sikumfahamu mpaka mapema mwaka huu. Haishangazi kuona kwamba baada ya kushinda tuzo ya BET…

Ali Kiba Ft. M.I – AJE | Lyrics/Mashairi

[Verse 1 – Alikiba] Ucheshi na sauti Amenifanya nam-miss tu Mwambie asiogope Ali ni kipenzi cha watu Ntafanya party nyumbani Hiyo yote kwa ajili yake Tena asije peke yake Asiogope aje na wenzake Ntafanya party nyumbani Hiyo yote kwa ajili yake Tena asije peke yake Asiogope aje na rafiki zake eh [Chorus – Alikiba] Basi…

MTV Base yatangaza kuanza kuicheza video ya Lupela yake Alikiba

Mashabiki wa Alikiba wamelala usingizi mnono baada ya kupewa habari njema waliyokuwa wakiisubiri kwa muda mrefu. Video ya Lupela itaanza kuchezwa leo kwenye kituo cha runinga cha MTV Base. Kiba alitangaza habari hiyo njema kwenye Instagram Jumanne hii. “I can’t wait ..Thank You @mtvbaseafrica #KingKiba,” aliandika kwenye picha inayoonesha ratiba ya kuchezwa video hiyo iliyotoka…

List Ya Wasanii waliochaguliwa Kwenye TUZO Za AFRIMMA 2015

Majina ya watakaoshindana katika tuzo za AFRIMMA yametangazwa leo 20/7/2015…kwa Tanzania nzima tunawakilishwa na Diamond Platnumz,Vanessa Mdee, Ommy Dimpoz, Mrisho Mpoto, Jaydee, Khadijakopa na Sheddyclever. Diamond yupo katika Categories saba…Cheki majina yote hapa Chini… 1. Best Male West Africa Davido (Nigeria) Serge Beynaud (Ivory Coast) Wizkid (Nigeria) Sarkodie (Ghana) Flavour (Nigeria) Carlou D – (Senegal)…

AUDIO | CHABBA FT JORDAN – MURDER | Download

Ikiwa bado mixtape yake “Nyota njema ya mtaa” inaendelea kufanya vizuri sokoni, Chaba a.k.a Baba mkubwa anayewakilisha 009 (Ngalimited) Arusha city, anawazawadia wapenzi wa muziki wake track mpya na moto kabisa toka Grandmaster Records chini ya utayarishaji wa producer John B akiwa amemshirikisha Jordan aliyetisha na ngoma yake ya mapenzi vita mapema mwaka huu.Huyu hapa…