FULL ALBUM | Nasibu the Vibe – Swaghili Stories | Download

Nasibu the Vibe ni msanii wa Hip Hop toka Tanzania anayefanya miondoko ya Trap.
Amezaliwa Dar es Salaam na mwaka jana alifanikiwa kuhitimu chuo na degree ya mass communication.
Nasibu the Vibe anajishughulisha na muziki tangu mwaka 2012 akiwa bado yupo shule ila ni mwaka huu 2018 ndo ameamua kuingia kwa kishindo na kuachia album yake ‘SWAGHILI STORIES’ ambayo amesema inapatikana bure kama ‘hewa ya oxygen’.
Kwenye album yake ya amekutanisha producers wa nchini na nje ya nchi kama USA, France, Jamaica na Iraq kupitia mtandao.
Nasibu the Vibe anategemea kuachia album nyingine mnamo December