AUDIO | Nasibu The Vibe, Kyussa Kross, Professor Jay – MIKONO JUU | Download
DOWNLOAD https://dl.globalkiki.com/uploads/Nasibu%20The%20VIBE%20X%20Kyussa%20Kross%20-%20MIKONO%20JUU.mp3
DOWNLOAD https://dl.globalkiki.com/uploads/Nasibu%20The%20VIBE%20X%20Kyussa%20Kross%20-%20MIKONO%20JUU.mp3
Nasibu the Vibe ni msanii wa Hip Hop toka Tanzania anayefanya miondoko ya Trap. Amezaliwa Dar es Salaam na mwaka jana alifanikiwa kuhitimu chuo na degree ya mass communication. Nasibu the Vibe anajishughulisha na muziki tangu mwaka 2012 akiwa bado yupo shule ila ni mwaka huu 2018 ndo ameamua kuingia kwa kishindo na kuachia album…