Home Uncategorized Raymond – Natafuta Kiki | Lyrics/Mashairi

Raymond – Natafuta Kiki | Lyrics/Mashairi

[Verse 1]
Nataka nitoke kwenye gazeti
Niuze sura!
Niseme ninatoka na Jokate…
Kitandani kwisha na Feza Kessy
Ama Snura
Nilete matata mpaka kwa Grace
Kwenye redio zote, mpaka runinga
Nitangaze kwa kuvimba
Kwamba Lulu anayangu mimba
Au niwatukane wote wanaoimba
Kwa dharau na kuvimba
Mpaka yule anajiita Simba!
Niseme madam Ritha katetema
Akiniona anashindwa hata kuhema
Au Vanessa kanena ananitaka na Jux atatemwa
Nataka nifanye sinema
Kwa alozaa na Ney, Siwema
Kiki ipi iko njema, au niende kwa Sepetu Wema?

[Chorus]
Ati ntokeje?
Mwenzenu ntokeje?
Ati ntokeje?
Mwenzenu ntokeje?

[Verse 2]
aaaaa aaaa eeee
Nasikia Uwoya mkali, wanasemaga Shishi asali
Wolper atakubali akimwage ki Harmo chali
Ninatafakari, kichwani maswali
Nimtongoze Zari, akijua Mondi si hatari?
Ee-hee, Rose Ndauka, Kajala pia hadi na Salama
Mose Iyaba asijeninua kwa Aunty lawama
Mkubwa Fella, Tale Salami leaders nizushe pesa wamenipiga
Chege na Madee wasije nikwida
Iyowee!
Nataka nibadili ratiba, kwangu isije leta msiba
Nitoke Wasafi niende kwa Kiba

[Chorus]
Ati ntokeje?
Mwenzenu ntokeje?
Ati ntokeje?
Mwenzenu ntokeje?

[Outro]
Nataka nifanye masekere
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Yaani Bongo nzima makelele
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Iih! Nikinukishe kinoma noma
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Iih! Macho kuvimba wataisoma
(Sekere oh sekere)
(Sekere oh sekere)
(Sekere oh sekere)
Ta ntira rara

Download Mp3: Raymond – “Natafuta Kiki”

Download DJMwanga Android Application Click HERE

https://goo.gl/Dpx8j4
JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga
Previous articleKUA WA KWANZA KUSIKILIZA KIONJO CHA WIMBO WA OMMY DIMPOZ ALIOMSHIRIKISHA ALI KIBA…!!
Next articleNew AUDIO | D JUNIOR – Puyanga | Download