Lyrics | Mshindi by Appy

Ya kwetu mvua la kwetu jua Na tuka amini tutatusua Kwetu sio wakishua shida twazijua Maisha yetu yakuunga unga Ulo mmoja mchana usiku Shida ndo zimetuleaaah Tukajikongoja mchana usiku Tukaishi kwa mazoea aaah Maisha yanavuruga shida zakila muda Mpaka marafiki wakageuka yuda Tumelelewa na mitaa hatuna ndugu Na shida zimetufanya tuwe masugu Tushatembea sana kwa…

AUDIO | Mimi Mars Ft. Nandy – Pole | Download

Download | Mimi Mars Ft. Nandy – Pole [Mp3 Audio]  Lyrics “Lyrics Pole By Mimi Mars Ft. Nandy” Ehhh, zombie Mimi Mars chugga queen The African princess Hivi ushawahi sikia mtuu anaogeshwaa na mdalasini maana sio jina anatajaa mpaka ubini tenaa akihumwaa huwaga atakii kwininiiii anachokitakaa kuniona mimiii tenaa mkaka kwanguu ndo kafaraaa yan…

Lyrics | Bora Kushukuru by OBBY ALPHA

Bora Kushukuru Lyrics by OBBY ALPHA Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa Tabasamu njoo, Nataka nibadiri Wangu mtazamo niishi kitajiri Na wewe maumivu njoo, Nataka nibadiri Wangu msimamo niishi kijasiri Ile habari ya kulialia Kila…