Video Mpya ya Diamond Kuzinduliwa Leo

VIDEO mpya ya msanii wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul, ‘Diamond
Platnum’, ‘Make me Sing’, inatarajiwa kuzinduliwa leo itakapochezwa kwa
mara ya kwanza katika  televisheni ya MTV Base.

Diamond, anayetarajiwa kwenda nchini Marekani kufanya kazi na
mtayarishaji wa muziki, Swizz Beat pamoja na kupiga picha za video yake
aliyomshirikisha Neyo, katika video hiyo amemshirikisha mkali kutoka
Afrika Kusini, A.K.A.

Hivi juzi kati kupitia ukurasa wake mtandaoni, Diamond aliandika;

FRICA!!!! i know you been waiting for this…and it’s ready for You!… TANZANIA + SOUTH AFRICA = HIT?… this Friday! #12022016
(
kwanza kabisa ningependa kumshkuru Mwenyez Mungu kwa kuweza katusaidia
kufanikisha ndoto zetu za Bongo falvour kuweza kuingia na kupata nafasi
nzuri West africa… kama nilivyoahidi na kuzungumza mwanzo kuwa mwaka huu
Moja ya Mission zangu ni kuhakikisha pia Muziki wetu unapata nafasi
nzuri South Africa na America… tafadhali usiache kunisupport ili kwa
pamoja tuufikishe mziki wetu Kileleni…)
#MakeMeSing @akaworldwide X @DiamondPlatnumz Drops on Friday!

 Download DJMwanga Android Application Click HERE

https://goo.gl/Dpx8j4
JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga

3 thoughts on “Video Mpya ya Diamond Kuzinduliwa Leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *