Diamond Platnumz ateuliwa kuwa balozi wa Vodacom,asema ni mara ya kwanza Tanzania.

Staa anayetikisa kwenye muziki wa Bongo Fleva hivi sasa Diamond
Platnumz
amepata shavu la kuwa balozi wa mtandao wa simu wa vodacom
kwenye promosheni yao mpya ya ongea daily.
Kwa upande wake Diamond amesema kuwa amefurahishwa na tukio hilo kwa kuwa ni kitu ambacho akijawai kutokea Tanzania.

Kiukweli kwangu leo ni siku kubwa kwa sababu hiki kitu hakijawai kufanyika Tanzania,ni mara ya kwanza kuwa
brand ambasador wa vodacom ni kitu
ambacho hakijawahi kutokea Tanzania” alisema Diamond ambaye ameshawai
kuwa balozi wa kampuni kadhaa ikiwemo Cocacola na Muziiki
“.

Download DJMwanga Android Application Click HERE

https://goo.gl/Dpx8j4
JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga
ad

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *