New AUDIO | Sauiti Ya Babu – Ukweli | Download

Sauti
Ya Babu ni msanii mwenye ujumbe mzito kwa taifa la leo. Mzee huyu anayo
shahada ya udaktari na binadamu kutoka nchini Cuba na amekuwa mtumishi
wa Serikali na kiongozi katika idara ya afya. Alianza kutengeneza muziki
tangu mwaka 2010. Mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi hapa nchini
yamemsukuma kuanza kutoa nasaha kwa njia ya nyimbo.
https://mkito.com/song/ukweli/2471/bwi-1-760

ad

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *