Diamond Platnumz Aibuka mshidi Tuzo Za Afrimma Awards


Diamond Platnumz ambaye yuko Marekani katika Tuzo za Afrimma Awards ambazo zimefanyika leo jijini Texas asubuhi kule ni kama saa saba za Usiku na ameibuka mshindi kwa kunyakua Tuzo Mbili moja ni Msanii bora wa East Africa 
(Best Male East Africa
ambapo alikua akichuana na
Ben Pol (Tanzania)
Bebe Cool (Uganda)
Wyre (Kenya)
Navio (Uganda)
Jackie Gosee (Ethiopia)

wimbo bora wa kushilikiana 

(Best Collabo
na kuzigaragaza ngoma kama
2face ft Tpain- Rainbow ( Nigeria/ United States)
Mafikizolo ft Uhuru– Khona ( South Africa)
Dr Sid ft Don Jazzy /Phyno/Wizkid- Surulere remix(Nigeria)
Amani ft Radio and Weasel – ‘Kiboko Changu’ (Kenya/Uganda)
Jmartins ft DJ Arafat— Touching body ( Nigeria/ Ivory Coast)
R2bees and Wizkid- Slow down ( Ghana/ Nigeria)