
MAJINA YA WASHINDI WA TUZO Za EATV 2016 #EATvAwards2016
List ya washindi wote wa EATV Award 1. Kipengele cha tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kiume 2016 kimekwenda kwa Ali Kiba. 2. Wimbo wa Aje wa Ali Kiba umeshinda tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka 2016. 3. Video ya wimbo wa Aje ya Ali Kiba imeshinda tuzo ya Video Bora ya Mwaka 2016. 4. Kipengele…