Wanaowania Tuzo za KILI 2014 ndio hawa, zilizoachwa ziko hapa pia

Screen Shot 2014-03-25 at 11.38.42 AMBaraza
la sanaa Tanzania (BASATA) limetangaza rasmi matokeo ya mchakato wa
kuwapata wateule rasmi yaani ‘nominees’ wa vipengele 34 vya tuzo za
muziki Tanzania.

Kabla ya kuanza kutajwa kwa wanaowania tuzo za KTMA 2014, BASATA
ilitangaza nyimbo ambazo zimetolewa kwenye kuwania tuzo hizi kutokana na
sababu za kimaudhui kama unavyoona hapa chini.
Screen Shot 2014-03-25 at 11.17.11 AM

List nyingine ya washiriki ndio hii hapa chini.

Screen Shot 2014-03-25 at 12.01.19 PM Screen Shot 2014-03-25 at 12.01.09 PM Screen Shot 2014-03-25 at 12.00.04 PM Screen Shot 2014-03-25 at 11.59.54 AM Screen Shot 2014-03-25 at 11.59.44 AM Screen Shot 2014-03-25 at 11.59.35 AM Screen Shot 2014-03-25 at 11.59.24 AM Screen Shot 2014-03-25 at 11.59.09 AM
Nyingine ni
WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI – Tubonge ya Jose Chameleone, Nakupenda
pia ya Wyre na Alaine, Badilisha ya Jose Chameleone, Kipepeo ya Jaguar,
Kiboko changu ya Amani, Weasal na Radio.

WIMBO BORA WA TAARAB – Wasiwasi wako wa Mzee Yusufu, asie kujua
hakuthamini Isha na Saida Ramadhani, Nipe stara Rahima Machupa, sitaki
shari Leila Rashid, fahari ya mwanamke ya Khadija Kopa, mambo bado
Khadija Yusufu, kila muomba Mungu ya Mwanahawa Ally.

WIMBO BORA WA RAGGA/DANCEHALL – Nishai ya Chibwa ft Juru, Sexy Lady
ya Dr. Jahson, My sweet ya Jettyman Dizano, feel alright ya Lucky Stone
na wine ya Princess Delyla.

WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHWA/KUSHIRIKIANA – Muziki gani ya Ney wa
Mitego ft Diamond, Joto hasira ya Lady Jaydee ft Prof J, kidela ya Ally
Kiba na Abdu Kiba, bila kukunja goti ya MwanaFA, Ay ft J Martins na
tupogo ya Ommy Dimpoz ft J Martins.

RAPA BORA WA MWAKA WA BENDI – Kitokololo, Chokoraa, Ferguson, Canal Top na Totoo ze bingwa.

MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE WA MUZIKI – Khadija kopa, Vanessa Mdee, Isha Ramadhani, Luiza Mbutu, Catherine (Cindy)

MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA TAARAB – Enrico, Ababuu mwana wa Zanzibar na Bakunde.

MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA (BENDI) – Allan Mapigo, C9, Enrico, Amoroso na Ababuu mwana wa Zanzibar.

WIMBO BORA WA REGGAE – Niwe nawe ya Dabo, hakuna matata ya Lonka,
tell me ya Dj Aron ft Fidempha, bado nahitaji ya Chikaka ft Bless P
& Lazzy B, Bongo reggae ya Warriors from the east.

WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA – Kwejaga nyangisha
ya Batarokota, Nalonji ya Kumpeneka, bora mchawi Dar bongo massive,
tumbo lamsokota ya Ashimba, Aliponji ya Wanakijiji na Agwemwana ya
Cocodo african music band.

cdt:MillardAyo