Download | Play Now

Diamond Plutnumz Kuachia Video Ya Collabo Yake Na Mr Flavour Kupitia BET International.

Diamond ame tease kuachia video ya collabo yake na Mr Flavour kupitia BET International
Toka mwanzoni mwa wiki hii Diamond
Platnumz na crew yake wamekuwa waki-tease vitu kwa mafumbo kuashiria
kuna kitu kikubwa kinakuja. 
Hatimaye Diamond Platnumz mwenyewe
ameweka wazi kuwa anaachia video na ngoma mpya aliyomshirikisha Mr.
Flavour wa Nigeria iitwayo ‘Nana’.

Kupitia Instagram Diamond ameshare fomu
inayoonesha kuwa ameituma video hiyo kwenye kituo cha Runinga cha
kimataifa BET International. Katika fomu hiyo inaonesha kuwa video hiyo
iliyoongozwa na Godfather inatarajiwa kutoa May 29, 2015. 

MFAHAMU MR FLAVOUR HAPA!!
br />


Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga