Eti baby kweli
Usiponiona pumzi inabananana
Eti baby kweli
Unaumisi utamu bananana
Eti baby kweli
Sa ka ndo kivyo kwanini twagombanana
Au ndio ukweli, tamu na chungu
Ndo raha ya kupendanana
Eti baby kweli Usiponiona pumzi inabananana By D Voice Download