Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) ni mojawapo ya hafla kubwa za kutambua na kusherehekea vipaji vya wasanii wa muziki nchini Tanzania. Tukio hili, lililoshirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), linaendelea kupata umaarufu mkubwa kwa kutoa jukwaa muhimu la kuwatambua wasanii waliotoa mchango mkubwa katika sekta ya burudani nchini.
Hafla ya kutangaza wa shindi wa tuzo za TMA 2024 imepangwa kufanyika Oktoba 19 2024, katika ukumbi wa Super Dome, Masaki, Dar es Salaam.
Hafla hii imejumlisha vipengele mbalimbali vinavyoshindaniwa, huku majina makubwa katika muziki wa Tanzania na Afrika Mashariki yalitumbuiza. Miongoni mwa wasanii watakaopamba tukio hilo ni:
πAlikiba πHarmonize πZuchu πMarioo πNandy πYoung Lunya πChristian Bella πMzee Yusuph πYammi
Mbali na burudani kutoka kwa wasanii hawa, washindi wa tuzo hizo walitunikiwa tuzo maalum zilizo na muonekano wa Mlima Kilimanjaro kama ishara ya utukufu wa sanaa ya Tanzania.

Ifuatayo ni orodha ya washindi wa vipengele mbalimbali vya tuzo hizi:
BEST COMPOSER OF TAARAB MUSIC OF THE YEAR
- UmenibambaΒ β Father Mauji
- NkurukumbiΒ β Bob Rama
- Babu JuhaΒ β Kisaka
- DSM Sweetheart β Thabit Abdul
- Sina WemaΒ β Mfalme Mzee Yusuph βΒ WINNER
BEST EAST, WEST & SOUTH AFRICAN SONG
- PeopleΒ β Libianca
- American LoveΒ β Qing Madi
- Lonely At The TopΒ β Asake βΒ WINNER
- UnavailableΒ β Davido Ft Musa Keys
- MnikeΒ β Tyler ICU
BEST MALE ARTIST
- MariooΒ β Shisha
- Shu!Β β Diamond Platnumz βΒ WINNER
- Single AgainΒ β Harmonize
- SumuΒ β Ali Kiba
- NitasemaΒ β Jay Melody
BEST FEMALE ARTIST OF THE YEAR
- Watu Na ViatuΒ β Malkia Leyla Rashid
- HoneyΒ β Zuchu
- BlessingΒ β Anjella
- MileleΒ β Abigail Chams
- NandyΒ β Falling βΒ WINNER
BEST SONG OF THE YEAR
- HoneyΒ β Zuchu
- Single AgainΒ β Harmonize βΒ WINNER
- EnjoyΒ β Jux ft. Diamond Platnumz
- TajiriΒ β Lava Lava
- Shu!Β β Diamond Platnumz
BEST DANCE MUSIC SINGER OF THE YEAR
- KanivurugaΒ β Christian Bella βΒ WINNER
- HellenaΒ β Melody Mbassa
- Jela Ya MapenziΒ β Papii Kocha
- MmbeyaΒ β Charlz Baba
- PopoΒ β Sarah Masauti
BEST DANCE MUSIC SONG OF THE YEAR
- MmbeyaΒ β Twanga Pepeta
- Tonge la MwishoΒ β Sikinde Original
- NyokaΒ β Melody Mbassa
- AchiiΒ β Diamond Platnumz ft. Koffie Olomide βΒ WINNER
- KanivurugaΒ β Malaika Band
BEST MUSIC COMPOSER OF DANCE MUSIC OF THE YEAR
- Master Keys
- Dad One Touch
- Erasto Machine
- Christian BellaΒ βΒ WINNER
BEST SONGWRITER OF THE YEAR
- Mbosso
- Dulla Makabila
- Thabit Abdul
- Jay Melody
- MariooΒ βΒ WINNER
BEST BONGO FLAVA MUSIC PRODUCER
- Ibrah Jacko
- Aloneym
- Trone
- S2KizzyΒ βΒ WINNER
- Mr. LG
BEST BONGO FLAVA SONG OF THE YEAR
- YatapitaΒ β Diamond Platnumz
- BaridiΒ β Jay Melody
- HoneyΒ β Zuchu
- MahabaΒ β Alikiba βΒ WINNER
- Single AgainΒ β Harmonize
BEST FEMALE BONGO FLAVA SINGER OF THE YEAR
- NandyΒ β Falling
- AnjellaΒ β Blessing
- PhinaΒ β Sisi Ni Wale
- AppyΒ β Watu Feki
- ZuchuΒ β Naringa βΒ WINNER
BEST SINGELI ARTIST OF THE YEAR
- MtamuΒ β D Voice
- Nije Ama NisijeΒ β Dulla Makabila βΒ WINNER
- Nikiachwa Kama NimeachaΒ β Mchina Mweusi
- Danga LanguΒ β Lamona
- Nini Tena Hiki?Β β Dogo Elisha
BEST SINGELI SONG OF THE YEAR
- Karibu TanzaniaΒ β Hemedi Kiduku
- Mr DjΒ β Dogo Elisha
- Nikiacha Kama NimeachwaΒ β Mchina Mweusi
- Kitu KizitoΒ β Rayvanny ft. Misso Misondo βΒ WINNER
- Nije Ama NisijeΒ β Dulla Makabila
BEST DJ OF THE YEAR (DJ BORA WA MWAKA)
- DJ D Ommy
- DJ Mamie
- DJ Ally BΒ βΒ WINNER
- DJ Shana Mnyamwezi
- DJ Seven Worldwide
BEST FEMALE PERFORMER OF THE YEAR
- PhinaΒ β Do Salale
- Lolo Da PrincessΒ β Performance Turn Up To New Year 2023
- ZuchuΒ β Nani Remix βΒ WINNER
- Abigail ChamsΒ β Milele
BEST MALE PERFORMER OF THE YEAR
- MbossoΒ β Sele
- Christian BellaΒ β Tamu
- HarmonizeΒ β Single Again
- AlikibaΒ β Sumu
- Diamond PlatnumzΒ β Shu! βΒ WINNER
BEST MUSIC PRODUCER OF THE YEAR
- S2KizzyΒ βΒ WINNER
- Mr. LG
- Lizer
- Thabit Abdul
- Trone
BEST ALBUM OF THE YEAR
- 5Β β Abigail Chams
- Swahili KidΒ β D Voice
- Most People Want ThisΒ β Navy Kenzo
- Visit BongoΒ β Harmonize βΒ WINNER
- Flowers IIIΒ β Rayvanny
BEST UPCOMING ARTIST OF THE YEAR
- LalalaΒ β Xouh
- GibelaΒ β Chino Kidd βΒ WINNER
- Watu FekiΒ β Appy
- Mi NaweΒ β Mocco Genius
- NamchukiaΒ β Yammi
BEST HIP-HOP SONG OF THE YEAR
- UongoΒ β Rapcha
- Current SituationΒ β Country Wizzy βΒ WINNER
- StupidΒ β Young Lunya
- MachoziΒ β Stamina ft. Bushoke
- BobeaΒ β Joh Makini
HIP HOP ARTIST OF THE YEAR
- Stupid β Young Lunya β WINNER
- Dunga MaweΒ β Kontawa
- MachoziΒ β Stamina
- BobeaΒ β Joh Makini
- Mama OmolloΒ β Rosa Ree
BEST COLLABORATION SONG OF THE YEAR
- SumuΒ β Alikiba ft. Marioo
- SeleΒ β Mbosso ft. Chley
- Nani?Β β Abigail Chams ft. Marioo
- EnjoyΒ β Jux ft. Diamond Platnumz βΒ WINNER
- AchiiΒ β Diamond Platnumz ft. Koffie Olomide