Search Results for: Kanivuruga
Washindi Wa Tuzo Za Muziki Tanzania – TMA 2024
Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) ni mojawapo ya hafla kubwa za kutambua na kusherehekea vipaji vya wasanii wa muziki nchini Tanzania. Tukio hili, lililoshirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), linaendelea kupata umaarufu mkubwa kwa kutoa jukwaa muhimu la kuwatambua wasanii waliotoa mchango mkubwa katika sekta ya burudani nchini. Hafla ya kutangaza wa shindi…