VIDEO | Lizy Lee – Nimempata

-Nimempata ni wimbo namba 3 katika EP ya Lizy Lee The Voice of Ngoni Queen, Nikielelezea hisia za kumpata umpendaye na kuongeza na choyo ili nyakunyaku wasiweze kumchukua mpenzi.

-Hii Video Imeshutiwa Mkoani Morogoro sehemu za vivutio kama maporomoko ya maji na maeneo mengine ya kuvutia.

-Naomba Fuatilia Video hii Uinjoy The Voice of Ngoni Queen EP is available in all digital Platforms through this link https://linktr.ee/lizylee