-Hii ni Video ya Wimbo namba 2 katika EP ya Lizy Lee – The Voice of Ngoni Queen.
-Ni Wimbo unaolezea Hisia za Mwamnamke ambaye amekimbiwa na Mumewe au mzazi mwenzie na kumuomba ARUDI ili walee pamoja familia.
-The Voice of Ngoni Queen EP is available in all digital Platforms through this link https://linktr.ee/lizylee