Download | Play Now

Infinix HOT 6 | SIMU YENYE LADHA YA MUZIKI.

Hivi karibuni kampuni ya simu ya Infinix ilifanikiwa kupenya katika soko la simu nchini Tanzania nakuweza kujitambulisha rasmi mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Infinix Mobility kama inavyotambulika kwa jina ndani ya muda mfupi imeweza kuwaridhishawa Tanzania kwauzalishaji wa simu kijanja kama vile Infinix HOT S3 na Infinix HOT 6 ikiwa simu yao mpya kwasasa.
Infinix HOT 6 Ni simu iliyowavutia wengi kutokana na ubunifu uliotumika kwani kampuni nyingi zimekuwa zikiwekeza sana kwa upande wa kamera na kusahau vitu kama spika zenye kupiga mziki mzuri, muonekano mzima wa simu na mfumo wa uendeshaji simu ni kimaanisha ‘Android
Pamoja na kuwana umbo jembamba la nchi 6.0 HD+ na wigo mpana wa kioo chenye uwiano wa 18:9 lakini bado haijazuia simu hiyo kuwa na spika mbili zenye kuchuja na kupiga mziki mzuri hata pasipo na matumizi ya ‘earphone’.
Kamera ya Infinix HOT 6 ni‘megapixel’ 13 nyuma na megapixel 8 mbele. Kamera ya nyuma ina â€˜aperture’ya 2.0 na flashi mbili za LED na kamera ya mbele ina â€˜aperture’ya 1.8 na flashi, hivi vionjo vyote vinafanya kazi kwa pamoja ikiwa ni kung’aza picha na kupiga picha yenye uhalisia hata katika mwanga hafifu.
Infinix HOT 6 ina aina mpya ya â€˜security’ yenye ulinzi madhubuti ambayo ni â€˜face id’. Kupitia â€˜face id’ una uwezo wa kulock simu haraka zaidi kwa kuitazamanisha sambamba na paji la uso. Lakini pia ina â€˜fingerprint’ yenye Kulock na ku-unlock simu kupitia alama za vidole.
Na pamoja yakuendeshwa na Android 8.1 na processor ya 1.3ghz quard core vyenye kuipa simu kasi ya kufanya kazi kwa haraka zaidi nakupunguza uishaji wa chaji kwa haraka lakini bado Infinix HOT 6 ina betri lenye ujazo mkubwa wa 4000mAh. Kupitia Infinix HOT 6 unapata uhuru wakusikiliza mziki na kufanya kazi mbalimbali pasipo kipimo.

Infinix Hot 6 Specs and Features

  • OS: Android OS, v8.1 (Oreo)
  • Display: 6.0-inches (~76.2% screen-to-body ratio) Screen Touch, 720 x 1440 pixels (~272 ppi pixel density)
  • Processor Type: Octa-core 1.3 GHz Cortex-A53 Qualcomm Snapdragon 425
  • Graphics Processor: Adreno 308
  • Internal Storage: 16GB, 1GB RAM
  • Back Camera: 13MP, f/2.0, phase detection autofocus, LED flash
  • Front Camera: 8 MP, f/2.0, LED Flash, FaceID
  • Other Features: GSM / HSPA, Fingerprint, FaceID, accelerometer, gyro, barometer, v4.0, A2DP
  • Battery: Non-removable Li-Ion 4000 mAh battery
For more information visit http://www.infinixmobility.com/tz