KWANINI SAA HII INAONGOZA KWA MAUZO TANZANIA

??KWANINI SAA HII INAONGOZA KWA MAUZO?? au kwa lugha ya wazungu why this watch is best selling …hili swali nilijiuliza kwa siku tatu mfulizo kwanini saa ilikuwa best selling? mwezi tatu na wapili kwenye website nying dunia ikiwemo na ya kwetu….nikasema ngoja niivae nione ilinichukua masaa 72 kuja kujua why is best of best kwenye saa za mshale..
  • âž¡kwanza kabisa saa hii ina mkanda wa ngoz then uko.comfortable yaani ngozi flani ya kibabe…
  • âž¡pili rangi yange ni mchanyiko mzuri yaaani saa ya silver n mikanda meusi unapata best mchanganyiko…afu ebwana saa hii pia ni water resistant 30meter chini ya maji
  • âž¡…..afu imetengenezwa na kampuni ya skme ya ya Japan ????..mmmh nilipofungua nilikuta imekuja na box lake original?? sio saa inakuja bila box…bila kusahau kasaa haka mishale yote inazungua ina kalenda ???na stop watch…hapo nikajua kujua kwa matumizi haya Lazima iwe?? BEST SELLING TU HAKUNA NAMNA?
  • JINSI YA KUIPATA

  • saa hii ukigiza utalipia mzigo ukifika ndani ya SAA 24 tu utalipia mzigo ukifika mikoa ifuatayo dar,arusha ,moshi ,mwanza,mbeya tanga zanzbar dodoma morogoro mtwara na songea WATEJA SERIOUS

//

Tagged:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *