JE WAJUA SAA ZENYE MOYO KAMA WA BINADAMU

NDio najua bado kichwani mwako unajiuliza saa zenye moyo wa binadamu kivipi? basi mwandishi wa makala hii ndo kazi yangu kukupa majibu na elimu kuhusu saa zenye moyo…tuanzie hapa msomaji saa zenye moyo kwa lugha sahihi ya kiswahili ni saa ambazo hazitumii battery yaani kiingereza automatic watch/mechanical watches….katika ulimwengu huu wa saa basi saa hizi ndo zilikuwa za kwanza kugunduliwa saa hizi ziligunduliwa na peter henlein wa mji wa nuremberg ujerumani….wakati saa za mabattery ziligunduliwa mwaka 1955 yaani quartz watch huko japani ….. baada ya historia fupi hiyo ngoja sasa tuone uchawi wa mzungu huyu peter henlein alifanyaje saa hizi hazitumii battery tutamia lugha nyepesi kila mtu asomae makala hii aelewe na video nitaweka
1.SAA HIZI HUPATA NGUVU UNAPOTIKISA MKONO WAKO
chazo kikubwa cha nguvu za saa hizi huwa mtu alivaa saa hii akiwa anatembea anavyotikisa mkono basi saa hizi kama unajua wana fikia hapa wataelewa saa hii huchukua motion energy na kuifadhi nguvu hii kwenye spiringi kuu (main spring)yaani saa hii uko zako mishe mishe zako unatembea ..na yenyewe inakuwa bize inachaji jinsi unavyotisa mkono…..
2. INA GIA
mi ndo maana nasemaga wazungu bwana kwenye ugunduzi ni watu hatari saa hizi bwana zina mfumo wa gia …gia hizi bwana zinafanya kazi kwa waledi wa hali ya juu yaani kubadilisha nguvu ya mtetemeko wa mkono wako na kuziifadhi kwenye spiring kuu yaaani huu sasa NDO HUITWA MOYO wa saa yaani ukizima na saa inasimama kana kwamba binadamu moyo ukizima nae anakufaaa….lakini saa hizi moyo huu wa saa ni kwamba ukitisaa tu mkono na moyo wa saa unaanza kufanya kazi …ngoja niwekee mfano saa ya kampuni t winner ambayo nayo ni moja ya SAA AMBAYO INA MOYO
basi ndugu msomaji hii kwenye video hapo juu ni moja kati ya mfano saa nyingi ambazo hazina mabattery ..kama utakuwa ni mdadisi wa mambo utakuwa umeangalia vizuri umeona kama kitu kama cha mvirigo kinatikisika kwa spidi basi ule ndo moyo sasa wa saa
3.HAZIINGII MAJI
basi saa hizi bwana ili kutunza ule moyo wake yaani springi kuu usichoke kufanya kazi hizi saa bwana huwa ni rafiki na maji yaani ukupita mvuani sawa tu hazina shida …..pia saa hizi wafanyakazi hasa wa POSTA huzipenda sana koz zinaongezea muonekano hata mimi hapa kama mwandishi wa habari hii saaa ni ninayo ina skeleton mechanical watch bofya jina hapo kuiona unaweza nunua hapo pia niliko nunua mimi mwandishi wako
4.UTAPATA WAPI SAA HIZI NA KWA SIFA ZIPI ILI UPATE ORIGINAL
ili upate original sifa ya kuangalia ni muda gani springi kuu ina uwezo wa kutunza chaji muda mara nyingi huwa ni masaa 48 bila kuguswa mara nyingi watu huagiza kwenye mitandao kama AMAZON wa marekani au pia POSTA kuna maduka huuza saa hizi za automatic pia kuna njia nyepesi kuna HUU mtandao wa daresalaamshop.com ambao personally nakurecommend ukanunue hawa unagiza na unaletewa ulipo TANZANIA nzima hawa majamaa huwa ni original na utalipia mzigo ukifika kitu umekiona usikose utamu wa saa hizi pia ndugu msomaji kuna link chini hapo bofya buy now kuweka order,,, mpaka siku nyingine kwenye makala zingine ASANTE

//

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *