Muimbaji wa Nigeria, Joshua Iniyezo maarufu kama SolidStar ameachia album yake iitwayo WEED. Katika album hiyo ameshirikisha mastaa kibao wakiwemo Diamond, 2 Face, Flavour, Phyno, Burna Boy, Davido, Falz, Timaya na wengine. Huu ni wimbo Money aliomshirikisha Diamond.