Usiku wa jana, Ali kiba alifanya uzinduzi wa video ya ngoma yake mpya iitwayo #Lupela pande za Slipway, jijini Dar.
Mastaa kadhaa wamehudhuria uzinduzi huo.
Ali kiba na Shadee.
Ali kiba na Ommy Diamond.
Ali kiba na Jux.
Ali kiba na Navy Kenzo.
Ali kiba na Vanessa Mdee