Msanii MRISHO MPOTO Pamoja Na Timu nzima ya PSPF waingia Mkoani RUVUMA katika Wilaya ya NAMTUMBO

Msanii Mrisho mpoto leo ametembelea Baadhi ya shule zilizopo Mkoani Ruvuma katika Wilaya ya Namtumbo kiijiji alipozaliwa

Hii ni kwa msukumo na msaada
kutoka PSPF katika jicho lingine la kuitazama Elimu ikiwa kama chanzo na
mwanzo mzuri kwa kizazi kijacho
Misaada
hiyo iliyotolewa na Mrisho Mpoto akiwa kama balozi wa PSPF ni pamoja na
vifaa vya shule na vitendea kazi kwa wanafunzi hao a shule za msingi.
JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga