DAVIDO Kufanya kolabo Na ALIKIBA

SHARE

Davido ni msanii wa Nigeria ambaye jina lake lilizidi kutajwa sana Tanzania baada ya kufanya kolabo ya ‘number one rmx’ na Diamond Platnumz.
July 18 2015 kwenye Exclusive interview na AyoTV Durban South Africa Davido kamtaja msanii mwingine wa Tanzania anaefanya nae kolabo hivi karibuni.
[youtube https://www.youtube.com/watch?v=JNvinofOSz4]

Crdt | AyoTv


JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga

Comments

comments

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY