Kolabo ya Joh Makini na Davido kutoka Hivi karibuni, Davido ayaandika haya.

Hitmaker wa ngoma ya ‘waya’ anaetokea kwenye kundi la weusi, msanii Joh Makini sasa yuko mbioni kuitimiza adhma yake ya kufanya kolabo na msanii wa kutoka pande za Nigeria. Kama utakuwa ni mpekuzi mzuri wa mitandao ya kijamii tayari utakuwa umeweza kukutana na post ya Davido akiashiria ukamilifu wa ngoma hiyo. “Back to work !! On set ? shoot @johmakinitz ft Davido…

DAVIDO Kufanya kolabo Na ALIKIBA

Davido ni msanii wa Nigeria ambaye jina lake lilizidi kutajwa sana Tanzania baada ya kufanya kolabo ya ‘number one rmx’ na Diamond Platnumz. July 18 2015 kwenye Exclusive interview na AyoTV Durban South Africa Davido kamtaja msanii mwingine wa Tanzania anaefanya nae kolabo hivi karibuni. Crdt | AyoTv JIUNGE NAMI KUPITIA  Twitter: @djmwanga      Instagram:…

[KIONJO/Snippet] Victoria Kimani Ft OmmyDimpoz & Diamond – PROKOTO | Listen&Download

Ready to unveil her recent offering ‘Prokoto’, Victoria Kimani features Diamond and Ommy Dimpoz, two major acts in Tanzania in a Smash dance-hit on this new upbeat and catchy collaboration. ‘Prokoto’ follows up from her two previous successful hits ‘ Oya’ ,‘Whoa’ and ‘M’Toto’, and is a heavy conga drum led single, which sees Victoria…